Home Michezo SAMATTA ATAMBA KRC GENK…ANAKIWASHA BALAA…MAGOLI NA PASI USISEME

SAMATTA ATAMBA KRC GENK…ANAKIWASHA BALAA…MAGOLI NA PASI USISEME

SAMATTA ATAMBA KRC GENK...ANAKIWASHA BALAA...MAGOLI NA PASI USISEME
[the_ad id="25893"]

Straika wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta ameendelea kuwa mchezaji muhimu katika Timu yake ya Genk siku za hivi karibuni na hii ni baada ya kutoa pasi ya bao iloyowafanya kupata sare dhidi ya Cercle Brugge siku ya Ijumaa.

Sare hiyo inaendelea kuwabakisha Genk kileleni wakiwa na alama zao 68 baada ya Michezo 30.

Na hizi ndizo Takwimu za Mbwana Samatta katika michezo 4 iliyopita ya Jupiler pro league

Michezo 4
Mabao 3
Pasi za mabao 1
Takwimu zake katika Jupiler pro league msimu huu hadi sasa
Michezo 24
Ameanza michezo 7
Dakika alizocheza 961
Mabao 4

Pasi za mabao 1
Ana wastani wa kufunga bao kwa kila dakika 240

SOMA NA HII  SINGIDA BIG STARS WAONYESHA JEURI YA PESA....BAADA YA KUMRUDISHA KOCHA HANS PLUIJM...WAMVUTA NA PASCAL WAWA...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here