Home Habari za michezo SHOMARI KAPOMBE NA MOHAMED HUSSEIN “TSHBALALA”… WAITWA KUONGEZA NGUVU TAIFA STARS

SHOMARI KAPOMBE NA MOHAMED HUSSEIN “TSHBALALA”… WAITWA KUONGEZA NGUVU TAIFA STARS

KOCHA WA TAIFA STARS...AWATAFUTA KAPOMBE NA TSHABALALA

Mabeki wa Simba, Shomari Kapombe Na Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ wameongezwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ‘Taifa Stars’ kinachojiandaa na mchezo wa marudiano wa kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Uganda.,

Hayo yamesemwa na Rais wa TFF, Wallace Karia wakati akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam.,

“Maneno yalikuwa mengi sana baada ya uteuzi uliofanyika mwanzoni lakini tumeona matunda yake, kuongezwa kwa Kapombe na ‘Tshabalala’ ni pendekezo la Kocha Mkuu, Adel Amroache na tayari wamejiunga kambini na wenzao,” amesema Karia.

SOMA NA HII  HALI YA HATARI YATANGAZWA YANGA SC...WACHORWA NJE NDANI...ISHU NZIMA IKO HIVI