HAWA HAPA WABABE WALIOINGIA NUSU FAINALI...LIGI YA MABINGWA AFRIKA 2023
CAF

HAWA HAPA WABABE WALIOINGIA NUSU FAINALI…LIGI YA MABINGWA AFRIKA 2023

Marce Ben Komba April 3, 2023 6:55 pm

Mechi za hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika zimekamilika usiku wa kuamkia leo ambapo timu zote zilizofuzu katika hatua hiyo zimefahamika

Al Ahly imekamilisha hesabu ya timu nane zilizotinga robo fainali baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Al Hilal

Kutoka kundi A, Wydad Casablanca na JS Kabylie zimetinga robo fainali huku Wydad wakiwa vinara wa kundi

Kundi B ni Mamelodi Sundowns na Al Ahly, Mamelodi wakiwa vinara wa kundi

Kundi C ni Raja Casablanca na Simba wakati kundi D ni Esperance na CR Belouizdad vinara wa kundi wakiwa ni Esperance

YANGA SC YAIBUKA NA HILI…YAMFUA MORISSON SPESHO KWA AJILI YA SIMBA HUYU HAPA MWARABU ALIYEAMBA MIL 54 ZA MERIDIANBET….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply