USAJILI WA SIMBA WASHTUA...KOCHA MPYA ASHIKILIA MAFAILI YA MASTAA HAWA
Habari za michezo

SIMBA IJAYO ITAKUWA ZAIDI YA BARCELONA…”KOCHA MKUU ROBERTINHO

Marce Ben Komba April 3, 2023 9:33 am

Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema baada ya muda wa miezi minne aliyokaa na timu anaamini katika siku za baadae Simba itakuwa na kikosi imara.

Robertinho amesema timu hiyo inacheza kwa maelewano mazuri ikiwa na mpira hata isipokuwa nao na hilo ni jambo jema.

“Nina muda wa miezi minne hapa lakini hii timu itakuwa imara zaidi siku chache zijazo. Timu inacheza vizuri ikiwa na mpira na hata isipokuwa nao.“- Robertinho

HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA KILICHOIUA TP MAZAMBE…MASTAA HAWA NI BALAA SIMBA YAKOMBA TUZO HIZI CAF…MAPYA YAIBUKA…ISHU NZIMA IKO HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply