HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA KILICHOIUA TP MAZAMBE...MASTAA HAWA NI BALAA
Habari za Yanga

HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA KILICHOIUA TP MAZAMBE…MASTAA HAWA NI BALAA

Marce Ben Komba April 3, 2023 9:29 am

Mabingwa wa kutandaza kandanda safi barani Afrika, kandanda lilioenda shule, kandanda lenye viwango vya UEFA hapa nawazungumzia Young Africans walishuka dimbani huko Lubumbashi nchini Kongo kumenyana na Tp Mazembe katika mchezo wa mwisho wa kundi D kombe la shirikisho barani Afrika.

Mechi hii ilipigwa katika uwanja wa Tp Mazembe na ilianza mida ya saa 10:00 jioni na kurushwa Azam Sports kupitia channel yake ya ZBC2

MATOKEO YANGA SC1-0TP MAZEMBE 

Kikosi cha YANGA kinachoanza

Metacha
Job
Lomalisa
Bacca
Mwamnyeto
Bangala
Mudathir
SureBoy
Moloko
Musonda
Mayele

Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 

YANGA YAWEKA REKODI HII MPYA…HAKUNA TIMU ILIYOWAHI…AFRIKA YATETEMA SIMBA IJAYO ITAKUWA ZAIDI YA BARCELONA…”KOCHA MKUU ROBERTINHO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply