Habari za michezo
Record Ya Taifa
Heshma kwenu Wachezaji na Benchi la Ufundi kwa Rekodi hii kuwekwa,Thanks Viongozi,Wanachama na Washabiki wote,mmeletea heshma mpya katika football ya Tanzania
YANGA YAWEKA REKODI HII MPYA…HAKUNA TIMU ILIYOWAHI…AFRIKA YATETEMA
Record Ya Taifa
Record Ya Tanzania
Haijawahi Team yoyote, narudia Team yoyote kutoka Tanzania kumfunga MAZEMBE nje ndani
RECORD
Ni Timu tatu pekee Afrika zilizomfunga TP Mazembe ndani nje kwenye michuano ya CAF
2021, Mamelod Sundowns, Afrika Kusini
2023, US Monastri, Tunisia
2023, Yanga Africans, Tanzania. Na kufikisha Points KUMI NA TATU (13) ktk Group Stage ya Mashindano ya Vilabu Africa
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.