MFAHAMU SHABIKI HUYU KIPOFU WA SOKA...HAJAWAHI KUKOSA UWANJANI
Habari za michezo

MFAHAMU SHABIKI HUYU KIPOFU WA SOKA…HAJAWAHI KUKOSA UWANJANI

Marce Ben Komba April 10, 2023 3:18 pm

Hii ni sanamu ya aliyekuwa shabiki Mkubwa wa Valencia Vicente Navarro Aparicio ambaye alifariki dunia mwaka 2017.

Valencia waliguswa hadi kujenga sanamu yake ndani ya uwanja wao wa nyumbani wa Mestalla kutokana na rekodi yake ya kutokosa mchezo wowote wa nyumbani licha ya kuwa kipofu lakini hakuacha kuhudhuria mechi za timu hiyo.

Klabu hiyo ilijenga sanamu yake 2019 katika kiti chake alichokuwa anapenda kukaa katika maisha yake ya ushabiki

SIMBA ACHENI KUMKANDAMIZA MZAMIRU…ALIPWA MSHAHARA MDOGO KULIKO SAWADOGO MSHAMBULIAJI LIGI KUU AWEKA WAZI…WANASUBIRIA MIUJIZA ITENDEKE…AMEZUNGUMZA HAYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply