Habari za Simba na Yanga
Habari za michezo

HAT TRICK IPI NI YA KISAMJO..? HUKU MAYELE KULE AZIZI KI…

admin April 12, 2023 6:56 pm

Nyota wa Simba, Mkongo Jean Baleke na Stephane Aziz Ki wa Yanga wote wapo midomoni mwa mashabiki kuelekea pambano la watani wa jadi la Ligi Kuu ya Tanzania Bara Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Kutanjwa huko kunakuja wakiwa wametoka kuzibeba timu zao michezo ya mwisho kabla ya kuelekea Pambano hilo siku ya Jumapili.

Baleke alifunga mabao mawili ugenini dhidi ya Ihefu huku Aziz Ki akipiga Hat-Trick dhidi ya Kagera Sugar katika Uwanja wa Chamazi.

Je, atang’ara zaidi Aprili 16? Bila shaka hilo ni jambo la kusubiri na kuona.

KIPA ORLANDO AIGOPA SIMBA…AWATONYA HAYA WYDAD CASABLANCA NABI ATEMA CHECHE HIZI YANGA…”SIO RAHISI KUPATA USHINDI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply