Habari za michezo

MTANGAZJI CLOUDS FM AJIBU TUHUMA ZA MANARA KWA STAILI HII…AMPA ‘UBABA’…

admin April 12, 2023 6:19 pm

Baada ya jana kushambuliwa katika mtandao wa Instagram wa Manara Mtangazaji wa Kituo cha Clouds FM Prisca Kishamba ameamua kimtindo kulizima bifu lake na aliyekuwa msemaji wa Yanga Haji Manara.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Prisca ameandika;

“Mwaka huu anatimiza miaka 50, Kama baba yangu Josephat kishamba angekua hai june 14 angetimiza miaka 51 hamuoni kama najibizana na baba yangu jamani? mwambieni baba sijapenda anachonifanyia nimeamua kumpa heshima yake ameshinda!”

HATIMAYE YANGA WAFUNGUKA…ISHU YA FEISAL SALUM “FEI TOTO”…WAMEZUNGUMZA HAYA KIPA ORLANDO AIGOPA SIMBA…AWATONYA HAYA WYDAD CASABLANCA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply