MANE ATUPIWA VILAGO BAYERN...DUUH!! APIGWA FAINI HII...KISA KITASA ALICHOMPIGA SANE
Habari za michezo

MANE ATUPIWA VILAGO BAYERN…DUUH!! APIGWA FAINI HII…KISA KITASA ALICHOMPIGA SANE

Marce Ben Komba April 18, 2023 2:50 pm

Baada ya kumtoza faini ya €300K (Tshs. Milioni 772) kwa kitendo cha kumpiga Leroy Sane, Klabu ya Fc Bayern Munich wanafikiria kumuuza Sadio Mane ifikapo mwishoni mwa msimu.

Sababu kubwa hasa ya maamuzi hayo taarifa zinasema mabosi hawakufurahishwa na kitendo cha kumshambulia Leroy Sane Juma lililopita baada ya mchezo dhidi ya Man City.

“KANOUTE ANASUMBULIWA NA NYONGA…SIMBA WASHINDWA KUVUMILIA WAFUNGUKA HAYA KIBU DENIS AVUNJA REKODI HII YA KICHUYA…KATIKA MECHI YA SIMBA NA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply