Home Habari za michezo WATANZANIA WAFELI MTIHANI WA UWAKALA FIFA…AFAULU MMOJA TU…

WATANZANIA WAFELI MTIHANI WA UWAKALA FIFA…AFAULU MMOJA TU…

WATANZANIA WAFELI MTIHANI WA UWAKALA FIFA...AFAULU MMOJA TU...

Nassor Mjandari ndiye Mtanzania pekee aliyefaulu mtihani wa
uwakala wa FIFA uliofanyika mwezi huu, wale ambao hawakufaulu wanayo nafasi ya kurudia mtihani wa pili utakaofanyia Septemba 20, 2023.

Taarifa hiyo imetolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

SOMA NA HII  KOCHA MPYA AZAM AANZA KAZI NA GIA KUBWA...ATAMBA KUBEBA MAKOMBE MAKUBWA AFRIKA..