Home Habari za michezo BAADA YA KUOTEWA NA SIMBA JUZI….HIZI HAPA MECHI KOKI ZA YANGA SC...

BAADA YA KUOTEWA NA SIMBA JUZI….HIZI HAPA MECHI KOKI ZA YANGA SC ZILIZOBAKI…WAKIFELI NDIO BASI TENA…

Habari za Yanga SC

BAADA ya juzi Jumapili kufundwa na Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu kwa goli 2-0, Yanga SC sasa wamebakisha jumla ya mechi nne kuamua hatma yao ya kutete ubingwa wa Ligi.

Mechi Hizo ni pamoja na ..

TBA, 2023 16:00 Singida Big Stars FC vs Young Africans SC (Liti Stadium, Singida)

TBA | Young Africans SC vs Dodoma Jiji FC (Mkapa Stadium Dar es Salaam)

TBA, 2023 TBA Mbeya City FC vs Young Africans SC (Sokoine Stadium, Mbeya)

May 28,2023 16:00 Tanzania Prisons FC vs Young Africans SC (Sokoine Stadium, Mbeya)

SOMA NA HII  YANGA HAKUJAPOA....KAZE ALIAMSHA TENA KUELEKEA MECHI YA KESHO NA SINGIDA...