Home Habari za michezo MARIO BALLOTELI AMKATAA RONALDO HADHARANI…ISHU NZIMA IKO HIVI

MARIO BALLOTELI AMKATAA RONALDO HADHARANI…ISHU NZIMA IKO HIVI

MARIO BALLOTELI AMKATAA RONALDO HADHARANI...ISHU NZIMA IKO HIVI

Mjadala wa kumjua mchezaji gani ni bora zaidi kati ya miamba miwili Lionel Messi na Cristiano Ronaldo sio wa kupata suluhisho leo wala kesho.

Na hiyo inachangiwa na kila mmoja kuvutia Mashabiki wake kwa namna yake, lakini Straika asieishiwa vituko Muitaliano Mario Balloteli yeye anaonekana kumkubali Muargentina Lionel Messi.

Akizungumza Balloteli anasema;

“Mradi Messi anacheza, nitaendelea kusema kuwa yeye ndiye mchezaji hodari zaidi. Baadaye, pengine, itakuwa zamu ya Haaland na MbappĂ©.

“Pia weka macho kwa Leao na Osimhen: kwa kichwa cha kulia, wanaweza kufikia kiwango cha Erling na Kylian.”

SOMA NA HII  MASHABIKI WA YANGA KIGALI WAPATA ZALI HILI