Home Habari za michezo YANGA MLIFURAHIA KUPANGIWA NA RIVERS…ILA MNA KAZI NZITO “KUMWEMBE

YANGA MLIFURAHIA KUPANGIWA NA RIVERS…ILA MNA KAZI NZITO “KUMWEMBE

Habazi sa Simba na Yanga

Wakati Mabingwa watetezi wa Tanzania Bara na Wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Tayari wamepewa tahadhari namna ya kuuendea mchezo huo na hasa kisaikolojia ikizingatiwa wametoka kupoteza mchezo wa Dabi dhidi ya Mtani wao Simba SC.

Mchambuzi wa Michezo mkongwe nchini, Edo Kumwembe amesema;

“Yanga wasahau haraka matokeo dhidi ya Simba, licha ya kuwa walishangilia kupangwa na Rivers lakini wana kazi ngumu. Wakicheza na Rivers kama walivyocheza na Simba basi kuna msiba mwingine utakuja mbele yao. Hii ni Rivers ambayo imewafunga Wydad nyumbani.”

Yanga wataanzia ugenini dhidi ya Rivers United ya Nigeria mchezo wa mkondo wa kwanza wa Robo Fainali.

SOMA NA HII  BAADA YA KUISOMA KMC YA HITIMANA KWA KINA...NABI KAKUNA KICHWA WEEH..KISHA AKASEMA HAYA...