Habari za Michezo
Habari za michezo

BAADA YA KULA SHAVU WYDAD CASABLANCA….SVEN KUKUTANA NA UGUMU HUU KWA WAARABU..

admin May 7, 2023 6:38 am

Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afika Wydad Casablanca wamemtangaza Sven Vandenbroeck kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo na kuchukua nafasi ya Juan Carlos Garido aliyebwaga manyanga.

Sven aliyekuwa akiifundisha Abha inayoshiriki Ligi Kuu ya Saud Arabia tangu Julai 16 hadi Octoba 8, katika mechi sita alizoiongoza timu hiyo alishinda moja, sare moja na kupoteza nne.

Kocha huyo alishawahi kuifundisha Simba SC mwaka 2019 hadi 2021 kabla ya kutimkia Morocco kuinoa timu ya ya FAR Rabat kabla ya kwenda Saudia.

Pia, kabla ya kutua Wydad kocha Sven hakuwa na timu baada ya kutimuliwa Abha aliyoiongoza mechi sita tu.

Wydad inatarajia kucheza nusu fanali Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuiondosha Simba kwa mikwaju ya penalti dhidi ya wababe wa Afrika Kusini Mamelod Sundowns.

BRUNO AFUNGUKA ISHU YA KUJIUNGA YANGA…AZAM WAPANIA KISASI…REKODI ZAIBEBA SIMBA… KUHUSU ISHU YA MAYELE KUTAKIWA VIPERS….UKWELI WA JAMBO NI HUU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply