Home Habari za michezo KIKOSI CHA YANGA LEO HIKI HAPA …..MORRISON,MUSONDA ‘OUT’…DICKSON JOB HAYUPO…

KIKOSI CHA YANGA LEO HIKI HAPA …..MORRISON,MUSONDA ‘OUT’…DICKSON JOB HAYUPO…

Habari za Yanga SC

Wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Timu ya Yanga inashuka dimbani muda mchache kutoka sasa kuikabili Marumo Gallants ya Afrika ya Kusini.

Mchezo huo wa hatua ya Nusu Fainali unapigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam huku Yanga wakiwa na matumaini makubwa ya kuibuka na ushindi katika mchezo huo.

Hii ni mara ya kwanza kwa Yanga kufika hatua ya Nusu Fainali na pengine wanaweza andika historia kwa Klabu yao ikiwa watatinga hatua ya Fainali.

Hiki hapa kikosi cha Ynga kinachoanza mchezo wa leo;

Kikosi cha Yanga LEO

SOMA NA HII  GOMES AFUNGUKA MENGINE KUHUSU SIMBA...AGUSIA KIKOSI..AMTAJA CHAMA NA LUIS MIQUISSONE..