Home Habari za michezo HUJACHELEWA BADO….KWENYE USIKU WA ULAYA LEO..TEMBEA NA ODDS HIZI ZA MERIDIANBET…

HUJACHELEWA BADO….KWENYE USIKU WA ULAYA LEO..TEMBEA NA ODDS HIZI ZA MERIDIANBET…

Meridianbet

Mbio sakafuni huishia ukingoni, hatimaye safari ndefu ya kumtafuta bingwa mpya wa Ligi ya Mabingwa na Uropa Ligi inaelekea ukingoni. Odds kubwa unazipata Meridianbet pekee machaguo kibao huku ukibashiri mubashara mechi zote wiki hii.

Usiku wa mabingwa Ulaya unaenda kuweka historia kwa mara nyingine tena, katika dimba la Giuseppe Meazza itawakutanisha mahasimu wawili kwenye soka la Italia, Inter Milan vs AC Milan kitawaka.

Mchezo wa kwanza ulimalizika kwa ushindi wa mabao 2-0 Inter alimakalisha Milan, odds kubwa pekee zipo Meridianbet, usisahau kucheza kasino ya mtandaoni, kwenye mchezo huu Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya ushindi Inter kwa odds kubwa 2.18 huku Milan akipewa 3.47, sare ina 3.28. Unampa nani ashinde mechi hii? Bashiri Meridianbet kwa odds kubwa.

Mechi ya kisasi Man City vs Real Madrid

Hii ni mechi ngumu na huenda ikawa ngumu kidogo kuitabiri, mchezo wa kwanza Kelvin De Bryune aliinusuru City kwenye kipigo kwa bao lake la kusawazisha na kufanya matokeo kuwa 1-1, kwenye dimba la Etihad hii itakuwa mechi ya kisasi kwa Pep Guardiola na vijana wake. Meridianbet wametoa odds kubwa kwa ushindi 1.64 City, 4.90 Madrid ashinde, sare ina odds kubwa ya 4.11, chaguo ni lako unamuamini nani kwenye mkeka wako.

Ligi ya Uropa hatua ya nusu fainali itapigwa siku ya Alhamis mechi mbili, Bayer Leverkusen vs AS Roma, Sevilla vs Juventus mchezo wa kwanza uliisha kwa sare nani atafuzu hatua ya fainali?

Kwako wewe mpenzi wa kasino ya mtandaoni kuna michezo mingi na sloti za kijanja za kupiga hela, pia ukijisajili Meridianbet unapata mizunguko 50 ya bure kucheza kasino, kujisajili ni rahisi gusa hapa.

 NB: Meridianbet imekuja na Jackpoti kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

SOMA NA HII  RASMI...RAIS SAMIA AFUTA NYAYO ZA KAGAME..AAMUA KUMWAGA MAMILIONI MICHUANO YA CECAFA