Habari za Yanga
Habari za michezo

ZA NDAAANI KABISA…MASTAA YANGA WALIA HALI NGUMU…HAWAJALIPWA MSHAHARA…

admin June 4, 2023 11:37 am

Wachezaji wa Yanga Princess wamedaiwa kugoma kuondoka makwao wakishinikiza kulipwa fedha zao za usajili na mishahara.

Ligi ya Wanawake imemalizika tangu Mei 17 2023, lakini mpaka leo wachezaji hawajavunja kambi kitu ambacho si kawaida wachezaji kubaki kambini ilhali hakuna mashindano.

Wale wachezaji wa kigeni wamekatiwa tiketi za kuondoka tarehe 8 ya mwezi huu wa 6 hali iliyozua taharuki kwa nini wakatiwe tiketi za wiki moja baadae wakati hawana kitu wanafanya Dar es Salaam.

Tangu Yanga Princess wagome kuvunja kambi hakuna kiongozi yeyote aliyewatembelea kuwapa muongozo wa klabu hivyo wengi wao wanazagaa mitaa ya Mikocheni ilipo kambi yao.

WAKATI JANA WAKIPOTEZA KOMBE LA CAF…..RAIS WA FIFA ATOA NENO YANGA…TFF WATAJWA… BAADA YA KIMYA KIREFU…MPOLE AIBUKA NA HILI JIPYA….ATAFUTA TIMU YA KUMNOA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply