Habari za Michezo Bongo
Habari za michezo

HUYU HAPA MCHEZAJI MTZ ANAYETIKISA ULAYA …KOCHA TAIFA STARS KUMUITA KIKOSINI…

admin June 14, 2023 3:34 pm

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Stars Adel Amrouche amefanikiwa kutafuta maingizo mapya ya Wachezaji wanaocheza Soka la Kulipwa Nje ya Tanzania na Kukaaa nao zaidi ya wiki moja kambini na uenda tukaona majina mengi Mapya katika Kikosi cha timu ya Taifa kinachotarajiwa Kutangazwa hivi karibuni.

Baadhi ya Ingizo Jipya ni Nyota wa klabu ya Bodo ya Norway, Amhil Pelegrino ni mmoja Kati ya Wachezaji wanaotarajiwa kuwa sehemu ya kikosi cha timu ya Taifa Stars kinachotarajiwa kutangazwa na Mwalim Adel.

Pelegrinho msimu uliopita alifanikiwa kufunga mabao 25. Na msimu huu kafanikiwa kufunga mabao 12, ni mshambuliaji wa viwango.

Amhil Pelegrino mwenye miaka 32 msimu huu kwenye ligi kuu Norway amecheza mechi 11 na kufanikiwa kufunga mabao 12 na Assist 5.

WAKATI YANGA WAKIMPA OFA YA MIL 40….KAIZER CHIEF WAMWEKEA NABI OFA YA MIL 100 KWA MWEZI… LILE DILI LA STRAIKA MCAMEROON KUTUA SIMBA ‘UPDATE’ HII HAPA….MBRAZILI ALETA KOCHA MSAIDIZI MPYA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply