Habari za Yanga leo
Habari za michezo

TAKWIMU ZINAONGEA….YANGA WAMEINGIZA PESA NYINGI KULIKO KLABU ZOTE ZA KENYA KWA UJUMLA WAKE…

admin June 28, 2023 8:55 pm

Mtandao maarufa wa michezo Pulse Soorts umeandika kuwa, klabu ya Yanga imeingiza pesa nyingi msimu wa 2022/23 kuliko klabu zote za kenya kwa pamoja.

Hii imekuja baada ya Yanga kupitia mkutano wake mkuu kutangaza kuwa kwa msimu uliopita, klabu hiyo imeingiza kiasi cha Tsh bilioni 7 huku ikitengeneza faida ya Tsh milioni 500.

Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe ameipost habari hiyo kisha akaandika; “Klabu ya Yanga imeingiza pesa nyinngi kuliko klabu zote za Kenya. Tunaposema KLABU KUBWA tunamaanisha kwa ukubwa huu.

“Makolo walivyo na wivu usishangae WAKAPIKA ubwabwa mwingine na kudanganya watu kuwa wamepata hela nyingi kuliko timu zote za Buza.

“Na wakimuona na jezi namba (6) anayekuja, WATAPIKA ubwabwa mwingine wakutane kuongeza bajeti. Subirini mtakuja kuniambia,” amesema Ally Kamwe.

BAADA YA KUKOSA DILI LA KAIZER CHIEF…NABI APAGAWA…..ASHINDWA KUZUNGUMZA… KUHUSU ISHU YA SAWADOGO KUTAKA ALIPWE MIL 700 NDIO ASEPE …SIMBA WATOA TAMKO HILI..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply