Home Habari za michezo KILA HATUA UNAYOPIGA KWENYE PUMPKIN PATCH YA MERIDIANBET UNAJIZOLEA MAHELA…

KILA HATUA UNAYOPIGA KWENYE PUMPKIN PATCH YA MERIDIANBET UNAJIZOLEA MAHELA…

Meridianbet

Mchezo wa Pumpkin Patch

Kutoka kwa watengenezaji nguli wa michezo ya kasino ya Mtandaoni Habanero, wameshirikiana na Meridianbet kisha kukuletea mchezo huu rahisi kutengeneza mkwanja.

Mchezo wa Pumpkin Patch kutoka kasino ya mtandaoni umetengenezwa maalum kabisa kutoa burudani kwa wachezaji, lakini pia una nafasi ya kucheza mchezo huu kwa dau dogo tu, kisha unasubiri maokoto mengi.

Mchezo wa Pumpkin Patch kasino ya mtandaoni una kolamu 5 na mistari 25 ya malipo ya ushindi kingine ni kwamba,unakujia na jackpoti kubwa mbili za ushindi nafasi ni yako tu kucheza na kushinda.

Jinsi ya Kucheza na Kushinda Pumpkin Patch

Jinsi ya kucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni ni rahisi sana, anza kwa kubofya Kitufe chenye neno *Spin kuanzisha mzunguko. Sloti ya Pumpkin Patch ina alama mbili kuu.

Alama ya Boga linalo cheza likiwa kwenye kifukuzia kunguru na alama ya Wild. Ikiwa alama ya Kunguru ikaangukia pembeni ya Boga, itasababisha boga hilo kusambaa kwenye kolamu na kutengeneza alama ya ushindi yenye kukuletea malipo ya kiwango kikubwa iitwayo Complex Wild. Na hii ni Sloti ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kama Kindi (Squirrel) akiangukia pembeni ya Boga, basi Boga hilo litabadilika na kuwa alama ya ushindi ambayo itakutea malipo mara mbili ya mwanzo iitwayo Wild.

Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye sloti ya Pumpkin Patch inakupa nafasi ya kushinda mizunguko kibao ya bure. Jiunge kwa kubofya hapa na upate bonasi ya bure ya kuanzia.

SOMA NA HII  STARS KUWAFUATA BENIN LEO