Home Habari za michezo BREAKING NEWS : SIMBA WAMTAMBULISHA MCHEZAJI WAKE HUYU MPYA MUDA HUU

BREAKING NEWS : SIMBA WAMTAMBULISHA MCHEZAJI WAKE HUYU MPYA MUDA HUU

KLABU ya imemtambulisha beki wa katí, Che Fondoh Malone Junior kuwa mchezaji wake mpya kwa mkataba wa miaka miwili kutoka Coton Sport ya kwao, Cameroon.

Che Fondoh Malone Junior (24), anakuwa mchezaji mpya wa tatu tu Simba SC baada ya winga wa kushoto, Aubin Kramo Kouamé kutoka ASEC Mimosas ya kwao, Ivory Coast na mshambuliaji Mcameroon, Leandre Essomba Willy Onana kutoka Rayon Sport ya Rwanda.

Malone anatua Msimbazi baada ya kuisaidia Coton kilichotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Cameroon huku yeye mwenyewe akishinda tuzo ya Mchezaji Bora wa msimu wa 2022-2023.

SOMA NA HII  DAWA YA KIBU KUCHEZA KIKOSI CHA KWANZA SIMBA HII HAPA