Habari za michezo
HAWA HAPA WACHEZAJI WA SIMBA WALIOONGEZA MKATABA MPAKA 2025
Staff Desk
July 10, 2023
10:20 pm
KLABU ya Simba imemrejesha beki wake David Kameta ‘Duchu’ kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Mtibwa Sugar ya Morogoro

BEKI wa kushoto wa Simba SC, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ ameongeza mkataba wa kuendelea na majukumu Simba SC hadi mwaka 2025.

BEKI mkongwe wa Simba SC, Shomari Salum Kapombe ameongeza mkataba wa kuendelea na kazi Msimbazi hadi mwaka 2025.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.