Anaitwa Moussa N’Daw ni mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Wydad Casablanca, timu ya taifa ya Senegal na kocha msaidizi Wydad Casablanca na nyingine.
◉ Name — Moussa Ndao ◉ Citizenship — Senegal ◉ Born — 16 July 1968 (54)
Baadhi ya watu wanadai kuwa huyu kocha mpya msaidizi wa Yanga mara ya mwisho kufundisha ni — 2016.
Muossa N’daw sio tu alikuwa kocha msaidizi Wydad, pia aliwahi kuwa kocha mkuu Wydad Casablanca (2019/20).
◉ 2011/14 — Aliajiriwa kwenye technical Bench Wydad Casablanca. Kisha 2015/19 Alikuwa kocha msaidizi chini ya makocha mbalimbali kama ifuatavyo;
Faouzi Benzarti Sebastien Desabre Zoran Manojlovic
◉ 2019/20 — Alikuwa kocha msaidizi Wydad Casablanca chini ya kocha mkuu.
◉ 10 Sept 2020 — Aliteuliwa kuwa kocha mkuu Wydad. Aliiongoza Wydad akiwa kocha mkuu wa muda kwa siku (46), kutoka 10 September hadi 26 October 2020.
◉ 01 Nov 2020 — Aliajiriwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Association Sportive de Sale (AS Sale) ya Nchini Morocco. Aliitumikia hadi 9 July 2021.
◉ Akarejea nyumbani Senegal kupumzika. 2021/22 aliteuliwa kuwa mshauri kwenye technical Bench katika timu ya taifa ya Senegal chini ya kocha mkuu Cisse.
Klabu alizochezea; ◉ ASC Jeanne d’Arc — 1987/89 ◉ Wydad Casablanca — 1989/93 ◉ Al Hilal — 1993/94 ◉ Farense — 1994/99 ◉ Ettifaq — 1999/00
Timu ya taifa ◉ Senegal — 1987/94
Klabu alizofundisha / benchi la ufundi
◉ ASC Jeanne — H. coach (2011) ◉ Wydad — Technical bench (11/14) ◉ Wydad — Assistant (14/16) ◉ SCCM — Coach (2016/20)
Ligi kuu Morocco Runner-up
CAF super cup CAF super cup runner-up.
SOMA NA HII KISA NGAO YA JAMII KUPIGWA TANGA...JEMEDARI AMVAA KARIA...AFUNGUKA ANAVYOPENDELEA KWAO..