Home Habari za michezo ‘CHAGUA NIKUPE’ YA MERIDIANBET YAFANYA KWELI SABASABA….WATU WAZIDI KUBEBA ZAWADI…

‘CHAGUA NIKUPE’ YA MERIDIANBET YAFANYA KWELI SABASABA….WATU WAZIDI KUBEBA ZAWADI…

Meridianbet

Ikiwa leo hii ni sikukuu ya Saba Saba nchini Tanzania kampuni ya Ubashiri Meridianbet ambayo nayo iliweka kambi kwenye maonesho hayo inaendelea kutoa zawadi kwa wateja wao kama vile tisheti na bonasi kibao.

Je unadhani unawezaje kupata bonasi na zawadi za Meridianbet? Ni rahisi tuu tembelea duka lao pale maeneo ya Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (BGT) ingia ndani utakutana na wataalamu ambao watakuelekeza jinsi ya kupata zawadi zao. Pia Mteja mpya atakayefungua akaunti mpya atapatiwa mizunguko 50 ya bure ya kucheza michezo ya Kasino.

Wakati huu ambao ligi zimesimama kusubiria msimu mpya, Meridianbet wanakwambia endelea kubashiri na wao kwa ligi zinazoendelea Duniani kwa ODDS KUBWA, na machaguo ni mengi sana, cheza ujiweke kwenye nafasi ya kuwa Bingwa.

Sub-Heading:

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Meridianbet β€œCHAGUA TUKUPE” wewe sema unachotaka wakupatia kama michezo ya kasino ni kibao cheza Poker, Aviator, Roullette, Wild Icy Fruits, na mingine mingi kibao ambayo itakupatia pesa kirahisi msimu huu.

Kujisajili na Meridianbet ni bure kabisa hivyo sogea kwenye duka lao ujisajili na uanze kutumia Meridianbet wakati wowote, mahali popote ufaidi kutumia kampuni hii unapofanya ubashiri kwenye kila mechi unayoibashiri.

Kujisajili ni rahisi ingia www. Meridianbet.co.tz ujisajili sasa au piga *149*10# kwa USSD pia unaweza kubashiri bila bando au ukiwa hata na kitochi, yani kila kitu ni rahisi ukiwa na Meridianbet.

Β Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Meridianbet pia kupitia Mhariri wao Nancy Ingram wanasema hivi kuwa kwa mtu yoyote ambaye ataingia ndani ya duka lao la Meridianbet atashiriki kucheza mchezo wa kasino ya mtandaoni PIA PREMIUM na akashinda demo hiyo atapewa ofa ya kuzungusha gurudumu na kuweza kujua zawadi aliyoshinda.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Baadhi ya zawadi hizo ambazo zinapatikana kwenye gurudumu hilo ni pamoja na tisheti la Meridianbet, Bonasi ya shilingi elfu 50, bonasi ya shilingi laki 10,0000, mkupewa mizunguko ya bure na nyingine nyingi zinazopatikana hapo.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

SOMA NA HII  USALITI...SIMBA WAITAJA YANGA..GOMES, HITIMANA MAMBO MAGUMU SIMBA..SPOTI XTRA LEO