Habari za Yanga
Azam FC

GAMONDI TUMBO JOTO MECHI YA YANGA vs AZAM, AFUNGUKA HAYA

Staff Desk August 9, 2023 2:29 pm

Wakati Yanga ikijindaa kuwavaa Azam FC leo Uwanaja wa Mkwakwani Jijini Tanga katika michezo ya mtoano kuwania Ngao ya Jamii.

Kocha Mkuu Yanga, Miguel Gamondi ameonekana kuingiwa na wasiwasi akitazama namna mpinzani wake alivyo imara.

Akizungumza Gamondi amesema; . “Sijaiangalia sana Azam ikicheza, nafahamu walikuwa nje ya nchi, tutaingia uwanjani kwa tahadhari kubwa, wachezaji wangu wanafahamu nini cha kufanya na wameonekana kuelewa vizuri mbinu zangu,” . “Kitu kizuri wachezaji wangu wote wapo kwenye ari nzuri, nina uwiano mzuri wa wachezaji wale watakaoanza na watakaokaa kwenye benchi, hili litanipa eneo kubwa la kuchagua nani aanze na mbinu gani nitumie kupata matokeo mazuri,” alisema Gamondi.

ILE SLOT YA KITAJIRI HII HAPA….KAMATA ‘MAOKOTO’ KILA DAKIKA NDANI YA MERIDIANBET… TFF YAFUNGUKA KUHUSU VIBALI VYA WACHEZAJI WA KIGENI WA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply