habari za yanga
news

TFF YAFUNGUKA KUHUSU VIBALI VYA WACHEZAJI WA KIGENI WA YANGA

Staff Desk August 9, 2023 2:38 pm

Shirikisho la Soka Tanzania ‘TFF’ limethibitisha kupokea vibali vya wachezaji wa Kigeni wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, ikiwa ni saa chache baada ya kutoa taarifa ya kupokea vibali vya Azam FC pekee.

TFF imethibitisha kupokea vibali hivyo kwa taarifa rasmi iliyochapishwa katika vyanzo vyake vya habari, huku ikiweka wazi majina ya wachezaji 12 wa kigeni wa Young Africans waliopata vibali.

Wachezaji hao ni Djigui Diarra, Jesus Moloko, Stephane Ki Aziz, Joyce Lomalisa, Khalid Aucho, Kennedy Musonda, Koussi Yao, Gift Fred, Mahlatse Makudubela, Hafiz Konkon, Max Mpia na Zouzoua Peodoh.

Hii hapa taarifa rasmi kutoka TFFVibali yanga

GAMONDI TUMBO JOTO MECHI YA YANGA vs AZAM, AFUNGUKA HAYA FURAHIA MIZUNGUKO MPAKA 500 YA KUSAKA MTONYO KUPITIA SLOT YA 5 HOT NDANI YA MERIDIANBET…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply