Tetesi za Usajili Simba
Habari za michezo

WAKATI WOWOTE SASA SIMBA WANAMTAMBULISHA KIPA HUYU

Staff Desk August 12, 2023 12:14 pm

Klabu ya Simba wanatarajia muda wowote kumtangaza kipa raia wa Morocco, Ayoub Lakred, aliyehudumu takribani misimu minne katika klabu ya mabingwa wa Morocco msimu uliomalizika FAR Rabat.

Msimu uliopita ndiye aliyekuwa kipa namba moja wa FAR Rabat, akikaa langoni mara 31 ambapo mechi 25 kwenye ligi na 6 kombe la shirikisho wakiishia robo faibali.

Tangu ajiunge na FAR Rabat kutoka Berkane, amekuwa kipa kinara wa timu, amecheza mechi nyingi zaidi, katika nafasi hii amecheza mechi 100.

kocha wa zamani wa Simba Sven Vandebroeck, anahusishwa na ushawishi wa nyota huyu kujiunga na Simba.Kocha huyo alimfundisha kipa huyo wakati akiwa anaionoa timu FAR RABAT.

WADAU WAITABIRIA YANGA KUNYAKUA NGAO YA JAMII ISHU IKO HIVI IFANYE POCHI YAKO KUWA NONO MSIMU HUU WA SOKA NA M-BET…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply