Habari za Simba
Habari za michezo

MEYA DAR:- SIMBA HATUNA KOCHA….YANGA WALITUZIDI KILA KITU….

admin August 15, 2023 9:03 pm

Aliekuwa Meya wa Manispaa ya Ubungo ambae pia ni shabiki kindaki ndaki Klabu ya Simba, Boniface Jacob ameeleza kile alichokiona katima mchezo wa Fainali ya Ngao ya Jamii kati yao na Yanga SC.

Mchezo huo uliopigwa katika Uwanja wa CCM Mkwakwani juzi Jumapili, Agosti 13, 2023 na kumalizika kwa sare ya bila kufungana, Simba iliibuka mshindi kwa changamoto ya mikwaju ya penati 3-1.

Katika mchezo huo, Yanga walionekana kuwa bora zaidi kuliko Simba kuanzia kipindi cha kwanza ambapo mpaka mwisho wa mchezo

Boniface Jacob ameyaandika haya; “Simba hatuna kocha, tunasajili halafu tunaogopa kutumia wachezaji wazuri, tunaweka walewale tukitegemea matokea mapya, mtani alituzidi kimbinu na kiuwezo ndani ya Uwanja, Yanga haijabomoka kama tulivyotegemea (labda kama walikamia), hahati ni yetu,” amesema Boniface Jacob.

MWAMUZI AFUNGUKA UTATA WA PENATI ZILIZOOKOLEWA NA ALLY SALIM DHIDI YA YANGA JUZI… BAADA YAKUFUNGWA NA SIMBA JUZI…GSM AVUNJA UKIMYA YANGA…ATAJA WACHEZAJI WALIVYO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

One response to “MEYA DAR:- SIMBA HATUNA KOCHA….YANGA WALITUZIDI KILA KITU….”

  1. BUGDADI AJM says:

    SIO KILA MECHI UTASHINDA NA SIO KILA MECHIUTACHEZA VIZURI

Leave a Reply