Home Habari za michezo KIVUMBI LEO LIGI KUU, HAPA YANGA PALE JKT TANZANIA…. LEO NI LIGI...

KIVUMBI LEO LIGI KUU, HAPA YANGA PALE JKT TANZANIA…. LEO NI LIGI YA MABINGWA

JKT TANZANIA WAENDELEZA UONEVU

Ligi Kuu ya soka ya NBC Tanzania bara inaendelea tena leo Agosti 29 kwa mchezo mmoja ambapo Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo Yanga SC wachachuana na Mabingwa wa Championship 2022/23 JKT Tanzania katika dimba la Azam Complex Chamazi.

Yanga SC vs JKT Tanzania

Azam Complex, Chamazi

saa 1:00 jioni

Yanga na JKT Tanzania ni miongoni mwa timu chache ambazo hazijaruhusu goli kwenye NBCPL msimu huu wa 2023/24 sambamba na, Singida Fountain Gate FC, Mashujaa FC na Geita Gold FC.

SOMA NA HII  AHMED ALLY AMTABIRIA BALEKE MVUA YA MAGOLI