Home Habari za michezo BAADA YA KUTWAA NGAO YA JAMII, SIMBA WASEMA HAYA KUHUSU MAKOMBE YALIYOBAKIA

BAADA YA KUTWAA NGAO YA JAMII, SIMBA WASEMA HAYA KUHUSU MAKOMBE YALIYOBAKIA

Habari za Simba

Kiungo wa Simba SC Sadio Kanoute ameweka wazi mwanzo mzuri wa msimu Kocha Robertinho amepata muda wa kutosha kujiandaa na wachezaji na anaamini ni wakati mzuri kwa Simba SC Msimu huu kuyarudisha makombe yote waliyopoteza kwa Miaka miwili yote mbele ya Yanga SC.

Simba jana ilifanikiwa kuchukua ushindi wa Ngao ya Jamii baada ya kuifunga Yanga SC kwa mikwaju ya penati 3-1, baada ya kutoka sare ndani ya dakika 90 za mchezo huo.

Kanoute tangu ajiunge na Simba msimu wa 2021/22, hii ndiyo Ngao ya Jamii ya kwanza kwake kushinda, hivyo ameahidi ataipigania timu yake ili iweze kurejesha makombe yote yanayoshikiliwa na Yanga.

SOMA NA HII  DUCHU, SASA NI ZAMU YAKE NA ISRAEL HUYU ZIMBWE, KAPOMBE WAPUMZISHWE SASA......... ISHU IKO HIVI