Home Habari za michezo HILI HAPA KUBWA LINGINE KUTOKA MERIDIANBET….

HILI HAPA KUBWA LINGINE KUTOKA MERIDIANBET….

Meridianbet

Michuano ya Magembe Cup inayoendelea mkoani Tabora Kaliua imepata neema kutoka kampuni bingwa ya michezo ya kubashiri ya Meridianbet ambayo imegawa vifaa vya michezo ambavyo ni mipira pamoja na jezi.

Kupitia michuano hiyo inayofanyika wilaya ya Kaliua mkoani Tabora imeendelea kudhihirisha ni kwa kiasi gani Meridianbet wanaendelea kuhakikisha jamii inayowazunguka inanufaika nao, Lakini pia kuhakikisha wanakua sehemu ya watu ambao watachangia sekta ya michezo nchini kukua.

Msimu mpya wa ligi mbalimbali barani ulaya nao umerejea rasmi na Meridianbet wanakuambia “MSIMU MPYA MZIGO WAKUTOSHA” kwa maana ya kwamba usiache kubashiri na kampuni hiyo yenye ODDS KUBWA

Mkuu wa kitengo cha Masoko kutoka kampuni ya Meridianbet Nancy Ingram alizungumza wakati wanakabidhi vifaa hivyo vya michezo leo “Kampuni yetu kikawaida imekua ikitoa sapoti katika sekta mbalimbali lakini leo tumeamua kugusa sekta ya michezo kwakua sisi wenye ni wahusika wakubwa katika sekta hii na tumefurahi kua moja ya wadau waliotoa sapoti kwenye michuano hii”

Unafahamishwa kwa kipindi hiki ambacho ligi zimerejea na MZIGO UPO WAKUTOSHA” Meridianbet wanakuambia Jackpot ipo palepale kupitia simu za vitochi *149*10# kwa shilingi 1000 tu.

Mwakilishi wa michuano ya Magembe ambaye amepokea vifaa hivyo pia alipata wasaa wa kuzungumza na kuonesha kufurahishwa na kilichofanywa na Meridianbet “Nashukuru Sana Meridianbet Kwa Msaada Huu Mimi Kama Muwakilishi Wa Magembe Cup 2023 Naamini Msaada Huu Ni Chachu Ya Mafanikio Kwa Vijana Wengi Hasa Kwa Kupata Vifaa Vitakavyowasogeza Katika Mapambano Yao Binafsi Nawashukuru Sana Na Niwaombe Msituchoke Pale Tutakapowahitaji” Salvatory Nkindiko

SOMA NA HII  PABLO - TUTACHEZA SOKA 'BIRIANI' KESHO...AINGIA 'UBARIDI' DHIDI YA WAARABU...