Home Uncategorized ANAANDIKA HAJI MANARA KUHUSU JONAS MKUDE

ANAANDIKA HAJI MANARA KUHUSU JONAS MKUDE


ANAANDIKA Haji Manara Ofisa Habari wa Simba kuhusu Jonas Mkude:-Msimu wa kumi huu wa kiungo fundi Jonas Gerald Mkude ndani ya kikosi cha kwanza cha Machampioni wa nchi Simba SC.


Huwa nasema kila siku Jona sio Attacking midfielder wala Holding Au Defending Midfielder!!


Yy ni Mido halisi,.Yaan amezaliwa kucheza eneo la kati tu, mara kadhaa viungo wa ushambuliaji au wa kuzuia huchezeshwa pembeni au mbele na hata katika nafasi za mabeki wa kati,,ila sio Kwa Master Jona, Yy ni pale pale katikati ya dimba..kama sio namba sita basi hupangwa namba nane,,hachezeshwi wing midfielder wala namba kumi au beki wa kati !! 


Kwangu mm huyu ndio King wa eneo la kati Tanzania na mbalada wake atazaliwa nchi hii mwaka 2150,,yaani miaka 130 ijayo.

SOMA NA HII  VIDEO: PATRICK SIBOMANA KUMBE ALIKUWA MUOKOTA MIPIRA, ENZI HIZO NGASSA WA MOTO