Home Habari za michezo HIVI NDIVYO MADEREVA BODABODA NA BAJAJI WALIVYOTOKELEZEA NA UZI WA MERIDIANBET..

HIVI NDIVYO MADEREVA BODABODA NA BAJAJI WALIVYOTOKELEZEA NA UZI WA MERIDIANBET..

Meridianbet

Kampuni ya Meridianbet ambayo imekua na utaratibu wa kutoa msaada kwa jamii yake mara kwa mara na wakati huu kampuni hiyo imefika Makumbusho na Mawasiliano katika vituo vya mabasi na kutoa msaada kwa madereva wa Bodaboda na Bajaji.

Mabingwa wa hao wa michezo ya kubashiri wamefika Makumbusho na Mawasiliano na kuhakikisha madereva wa Bajaji na Bodaboda hawafanyi kazi katika mazingira hatarishi tena, Ambapo wamewagawia Reflectors ambazo zitawasaidia katika shughuli zao za udereva.

Msimu mpya wa ligi mbalimbali barani ulaya nao umerejea rasmi na Meridianbet wanakuambia “MSIMU MPYA MZIGO WAKUTOSHA” kwa maana ya kwamba usiache kubashiri na kampuni hiyo yenye ODDS KUBWA

Mkuu wa kitengo cha Masoko kutoka kampuni ya Meridianbet Nancy Ingram alizungumza baada ya kufika maeneo hayo na kusema “Leo tumetoa vifaa vya usalama barabarani kwa madereva wa bodaboda na bajaji ambavyo ni Reflectors, Tunajua thamani ya madereva wa bodaboda na bajaji katika safari zetu, ndio maana tumeona kutoa vifaa hivi vya usalama kwa madereva wetu.

Unafahamishwa kwa kipindi hiki ambacho ligi zimerejea na “MZIGO UPO WAKUTOSHA” Meridianbet wanakuambia Jackpot ipo palepale kupitia simu za vitochi *149*10# kwa shilingi 1000 tu.

Madereva Bajaji na Bodaboda katika maeneo hayo ya Mawasiliano na Makumbusho walizungumza kwa vipindi tofauti na kuonesha kufurahishwa na msaada huo ambao kampuni hiyo imeutoa kwao.

SOMA NA HII  NABI AWAPONGEZA WACHEZAJI WAKE KWA USHINDI