Home Habari za michezo INONGA ALISTAHILI JAMBO HILI

INONGA ALISTAHILI JAMBO HILI

Habari za Simba SC

Henock Inonga Baka anaweza kuwa mchezaji ambae alihitaji zaidi mafanikio ya pamoja pale Simba hasa kwa namna ambavyo amekuwa akisifika kwenye nafasi yake dhidi ya walinzi wengine nchini.

Kwa bahati mbaya baadhi ya watu wamekuwa wakisubiri kuuimba zaidi ubora wa mtu mpaka pale unapokuwa umeambatana na mataji japo Inonga anastahili sifa zake bila hata hayo mataji.

Last season ukuta uliokuwa nae ndio uliruhusu mabao machache zaidi kwenye ligi na ameingia kwenye kikosi bora mara zote 2 alizoshiriki.

Ngao ya jamii aliyofanikiwa kushinda mwanzo wa msimu huu ni icing tu juu ya keki yake.

SOMA NA HII  WAKATI MBEYA CITY WAKIPATWA NA MCHECHETO...HIZI HAPA REKODI ZA KIBABE ZA MAYELE KWA MSIMU HUU TU...