Home Habari za michezo SIMBA SASA KIBOSI MANULA HUYU HAPA Habari za michezoHabari za SimbaHabari za Simba LeoMichezoMichezo BongoMichezo Soka la BongonewsSimba SC SIMBA SASA KIBOSI MANULA HUYU HAPA By Staff Desk - September 1, 2023 0 Golikipa namba moja wa Simba SC, Aishi Manura amerejea uwanja wa mazoezi kwa mara ya kwanza baada ya kukaa nje ya uwanja kwa miezi kadhaa. Aishi alipata majeraha yaliyomfanya akose mechi muhimu za Klabu Bingwa Afrika msimu uliopita sambamba na mechi za kumalizia msimu wa Ligi Kuu ya NBC. Kurejea kwa aishi kunazidi kuimarisha eneo la goli na sasa ataungana na Ally Salim pamoja na Ayoub Lakred kutoka Morocco.