Home Habari za michezo WIKIEND YA KIPUTE CHA ‘MIHELA’ INAANZA KESHO….KAMATA ODDS ZA USHINDI KUPITIA MERIDIANBET..

WIKIEND YA KIPUTE CHA ‘MIHELA’ INAANZA KESHO….KAMATA ODDS ZA USHINDI KUPITIA MERIDIANBET..

Meridianbet

Najua unajiuliza sana wapi utakusanya maokoto yako wikiendi hii sasa sikia chimbo ni moja tu Meridianbet wanatoa ODDS za kutosha na wikiendi hii kinaenda kupigika katika ligi mbalimbali barani ulaya kuanzia pale Uingereza, Ufaransa, Hispania, na pale Italia ni nafasi kwako sasa kujikusanyia maokoto.

Ligi kuu ya Uingereza Kunako ligi kuu ya Uingereza wikiendi hela ni nje nje kwani michezo mikali tu itapigwa na ODDS bomba zipo pale Meridianbet siku ya Jumamosi Chelsea watakua pale darajani kuhakikisha wanaendelea walipoishia, Man City mabingwa watetezi wao watakua nyumbani kuwaalika Fulham ni wewe tu kuchangamka ili uweze kujishindia mkwanja mrefu.

Siku ya jumapili itakua ya kukata na shoka kwani pale Emirates London Kaskazini kutakua na mchezo mkali katika dimba la Emirates ambapo Arsenal watakua nyumbani kuwakaribisha klabu ya Manchester United mchezo ambao unatarajiwa kua mkali sana na umepewa ODDS nzuri pale Meridianbet.

Ukiwa na Meridianbet rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani  kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Sub-Heading:

NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maana kaulimbiu yao inasema kuwa, “Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha”. Kama bado hujajisajili na Meridianbet muda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kucheza michezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.

MAPENE BADO NI YA KUTOSHA JISHINDIE NA MERIDIANBET

Ligi kuu kuu ya Hispania maarufu kama La Liga itarindima tena wikiendi hii na michezo mbalimbali itapigwa kuanzia jumamosi ambapo klabu ya Real Madrid itarejea katika dimba lake la nyumbani kukipiga dhidi ya Getafe weka mkwanja wako katika mchezo huu ujishindie mapene ya kutosha na jumapili Barcelona watakua ugenini kukipiga na Osasuna lakini pale katika dimba la Ramon Sanchez Pizjuan moto utawaka ambapo Sevilla wtawakaribisha Atletico Madrid ambao wako kwenye kiwango bora kabisa usikubali kukosa mapene wikiendi hii kwenye michezo hii kupitia Meridianbet

Ligi kuu ya Italia SERIE A itaendelea ilipoishia na michezo mbalimbali itapigwa wikiendi hii na siku ya Jumamosi  kitapigwa kipute kikali pale katika dimba la Diego Armando Maradona ambapo Napoli watakua nyumbani kumenyana na Lazio mchezo ambao umepewa ODDS bomba pale Meridianbet ambapo Napoli wamepewa 1.62 huku Lazio wakipewa 5.29 na mchezo mwingine utakua kati ya Atalanta dhidi ya Monza na mchezo huu umepewa ODDS kabambe pia  .

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

LIGUE 1  Michezo mbalimbali itaendelea kupigwa wikiendi hii kwenye ligi kuu ya Ufaransa  kuanzia jumamosi mpaka jumapili na inaweza kua nafasi yako ya kupiga mishindo kama kawaida ambapo Jumamosi Monaco watashuka dimbani kukipiga na Lens ambao unatarajiwa kua mchezo mkali ambao una ODDS za kibabe lakini Jumapili pia sio ya kukosa kwani PSG watakua ugenini kukipiga na klabu ya Olympique Lyon mchezo ambao pia umepewa ODDS za kutosha pale Meridianbet.

Ndugu mteja endelea kubeti na Meridianbet huku ukisubiri mechi za ligi zote kurejea wiki ijayo na kwasasa odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET MSIMU MPYA, MZIGO WA KUTOSHA

SOMA NA HII  KISA MOLOKO NA USHINDI...NABI AKUNJA USO...KISHA AKAFUNGUKA HAYA...HANA JINSI YANI...