Habari za michezo
HAWA HAPA MASTAA WALIOITWA TIMU ZA TAIFA, SIMBA, YANGA
Staff Desk
September 2, 2023
10:42 am
Ligi Kuu ya NBC kwa sasa imesimama kupisha ratiba ya michuano ya CAF kwa timu za taifa kufuzu fainali za AFCON 2023.
Hawa ni wachezaji wa vilabu vya Simba na Yanga walioitwa mpaka sasa kwenye timu zao za taifa kwa ajili ya michuano hiyo.
Yanga SC
01 ◉ Djigui Diarra — Mali
02 ◉ Metacha Mnata — Tanzania
03 ◉ Nickson Kibabage — Tanzania
04 ◉ Bakari Mwamnyeto — Tanzania
05 ◉ Ibrahim Bacca — Tanzania
06 ◉ Gift Fred — Uganda
07 ◉ Dickson Job — Tanzania
08 ◉ Khalid Aucho — Uganda
09 ◉ Jonas Mkude — Tanzania
10 ◉ Mudathir Yahya — Tanzania
11 ◉ Stephanie Aziz Ki — Burkinafaso
12 ◉ Clement Mzize — Tanzania
Simba SC
01 ◉ Kennedy Juma — Tanzania
02 ◉ Mzamiru Yassin — Tanzania
03 ◉ Kibu Denis — Tanzania
04 ◉ John Bocco — Tanzania
05 ◉ Said Ntibazonkiza — Burundi.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.