Habari za michezo

SIMBA KATIKA MDOMO WA WAMBA OKTABA 20

Staff Desk September 3, 2023 12:23 pm

Ratiba ya michuano hiyo imepangwa Septemba 2, 2023 ambapo Simba inatarajiwa kuanza kwa kuikaribisha Al Ahly ya Misri, mchezo wa kwanza ukitarajiwa kuchezwa Oktoba 20, 2023 kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam

Michuano hiyo inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) pia inatambulika kwa jina la African Football League, inashirikisha timu 8, inaanzia hatua ya Robo Fainali ikiwa katika mfumo wa mtoano

Mechi nyingine za Robo Fainali; TP Mazembe vs Espérance Sportive de Tunis, Enyimba FC vs Wydad Athletic Club, Atlético Petróleos de Luanda vs Mamelodi Sundowns

DROO KAMILI:

Simba SC 🇹🇿 v Al Ahly SC 🇪🇬

Tp Mazembe 🇨🇩 v Esperance 🇹🇳

Enyimba FC 🇳🇬 v Wydad AC 🇲🇦

Petro de Luanda 🇦🇴 v Mamelodi Sundowns 🇿🇦

BEKI KISIKI WA SIMBA APIGWA STOP KONGO WEKA MPAKA MISTARI 20 YA USHINDI KWENYE SLOT YA HOT SPIN NDANI YA MERIDIANBET…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply