Tetesi za Usajili Simba
Habari za michezo

BEKI HUYU WA SIMBA ATIMKIA UARABUNI, ISHU IKO HIVI

Staff Desk September 5, 2023 12:40 pm

Mlinzi wa zamani wa Simba SC, Mohamed Ouattara amejiunga na klabu ya Al-Ain FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Falme za Kiarabu (UAE) kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Mlinzi wa zamani wa Simba SC, Mohamed Ouattara amejiunga na klabu ya Al-Ain FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Falme za Kiarabu (UAE) kwa mkataba wa mwaka mmoja. Ouattara (24) raia wa Burkina Faso alisajiliwa na aliyekuwa kocha wa Simba Zoran Maki msimu uliopita kabla ya kuachana na timu hiyo msimu huu.

ROBERTINHO ATAMBA KUIKALISHA AL AHLY, AWEKA MTEGO HUU KWA MKAPA HAYA SASA SEPTEMBER 14 YANGA WANAJAMBO LAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply