Habari za michezo

SIMBA KESHO MAPEMA TU, HALI IKO HIVI

Staff Desk September 17, 2023 7:15 pm

Kikosi cha Simba SC kinatarajiwa kuwasili nchini kesho Jumatatu ya Septemba 18, 2023 kikitokea nchini Zambia katika ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika.

Kikosi cha Simba SC kinatarajiwa kuwasili nchini kesho Jumatatu ya Septemba 18, 2023 kikitokea nchini Zambia katika ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika. Simba imeanza hatua pili ya masindano hayo kwa kutoka sare 2-2 dhidi ya Power Dyamos hivyo inasubiri mchezo marudiano utakaopigwa Oktoba 1 ili kujihakikishia kutinga hatua ya makundi.

AHMED ALLY ASHINDWA KUVUMILIA AITETEA SARE YA SIMBA,AFUNGUKA HAYA HISTORIA KUANDIKWA WAACHENI WAJE, HAIJAWAHI KUTOKEA AFRIKA….. MAKOCHA WAFUNGUKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply