Habari za michezo
PROFESA JAY ATEMBELEWA NA KIONGOZI WA SIMBA
Staff Desk
September 25, 2023
12:02 pm
Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba SC Tanzania, Iman Kajula amemtembelea Professor Jay na kumjulia hali nyumbani kwake.
Kajula ametumia fursa hiyo kufikishia salam za viongozi na mashabiki wa Simba ambao wanathamini mchango wake mkubwa kama shabiki wa Simba.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.