Habari za michezo

SIMBA CHAP SANA WAWAHI POWER DYNAMO

Staff Desk September 27, 2023 1:24 pm

Kikosi cha Simba SC, leo Septemba 27, 2023 kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Azam Complex kwa ajili ya kuuzoea uwanja ambao watautumia Jumapili dhidi ya Power Dynamos mchezo wa Klabu Bingwa Afrika.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema hilo leo Septemba 27, 2023 alipokuwa akiuzungumzia mchezo huo.

“Kikosi leo kimefanya mazoezi kwenye Uwanja wa Azam Complex pale Chamazi kwa ajili ya kuzoea uwanja. Tangu tumeanza msimu huu hatujawahi kutumia ule uwanja. Wapo wachezaji wetu wengi wanaujua uwanja ule na wao wengine hawaujui,” alisema Ahmed.

AZIZI KI ATOA TAMKO HILI KWA MASHABIKI IWE JUA IWE MVUA SIMBA AJA NA KAULI NGUMU DHIDI YA POWER DYNAMO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply