Home Habari za michezo BREAKING NEWS: BEKI WA SIMBA CHE MALONE AMEPATA AJALI

BREAKING NEWS: BEKI WA SIMBA CHE MALONE AMEPATA AJALI

Habari za Simba

Mlinzi wa Simba SC, Che Fondon Malone ameripotiwa kupata ajali ya gari usiku wa kuamkia leo maeneo ya Shule ya Feza Mikocheni wakati akitokea Airport alipokwenda kupokea mizigo yake.

Kwa mujibu wa mashuhuda, nyota huyo raia wa Cameroon hajaumia maana alikuwa amekaa siti ya nyuma lakini dereva wake ndio amepata shida kwenye mkono.

Kwa Taarifa zaidi juu ya tukio hilo endelea kuwa karinu nasi Soka la bongo

SOMA NA HII  HII YANGA SIO YA LIGI HII...GOTI LA LWANGA MHHH...SIMBA YAJA NA GIA MPYA...