Home Habari za michezo INONGA HALI TETE AKIMBIZWA HOSPITALI

INONGA HALI TETE AKIMBIZWA HOSPITALI

Habari za Simba SC

Beki kisiki wa Simba SC, Henock Inonga amejikuta akikimbizwa hospitali baada ya kupata majeraha wakati wa mechi dhidi ya Coastal Union inayoendelea leo Septemba 21 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar.

Inonga alipandishiwa mguu kwa juu na Kapteni Haji Ugando wakati akiwa amepiga mpira na ndipo alipoumia kwenye mguu na mwamuzi kumpa kadi nyekundu Ugando ikiwa ni dakika ya 21 ya mchezo.

Inonga aliondolewa uwanjani hapo na ambulance kuelekea hospitali

SOMA NA HII  TSHABALALA AFARIKI DUNIA...APIGWA RISASI