Home Habari za michezo KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA NAMUNGO FC HIKI HAPA

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA NAMUNGO FC HIKI HAPA

Habari za Yanga

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wanashuka Dimbani muda mchache kutoka sasa kuwakabili wauaji wa Kusini, Timu ya Namungo FC.

Yanga wanaingia katika mchezo huo wakiwa na matokeo mazuri zaidi baada ya kushinda michezo yao miwili ya Ligi waliyocheza kwa ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya KMC na JKT Tanzania.

Yanga inahitaji alama tatu kuhakikisha inarudi kileleni mwa msimamo wa Ligi baada ya kushushwa na Mashujaa FC siku chache zilizopita.

Namungo waliopo chini ya Kaze wanahitaji ushindi baada ya kupoteza mchezo dhidi ya JKT Tanzania kisha wakasuluhu na KMC.

Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza mchezo wa leo;

Kikosi

SOMA NA HII  SIMBA SC WATAJWA BUNGENI TENA....ISHU NZIMA IKO HIVI....