Home Habari za michezo MERIDIAN WAIBUKIA KIJITONYAMA

MERIDIAN WAIBUKIA KIJITONYAMA

Meridianbet wameibukia Zahanati ya kijitonyama na kama ilivyo kawaida yao haikua shughuli nyingine bali ilikua ni kurudisha kwenye jamii yake inayowazunguka, Ambapo walifanikiwa kutoa vifaa vya usafi hospitalini hapo na vifaa vya Wamama Wajawazito.

Suala la Meridianbet kutoa msaada kwenye jamii inayowazunguka imekua kama desturi kwao kwani kila mara wamekua wakihakikisha wanarudisha kwenye jamii yao inayowazunguka, Na ndio kitu ambacho wamekifanya mapema leo katika Zahanati ya Kijitonyama jijini Dar-es-salaam

Kiukweli jambo hili limekua na tija kwa kampuni na hata jamii kwa ujumla kwani mara kadhaa sehemu ambazo kampuni hiyo bora ya michezo ya kubashiri inapotoa msaada, Kwani mabadiliko hua yanaonekana na hii inaendelea kuwapa nguvu Meridianbet ya kurudiaha kwenye jamii yake.

Ukiwa na Meridianbet rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani  kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullete, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Igram ndie aliyeratibu tukio zima la utoaji wa vifaa hivyo hospitalini hapo na aliweza kuzungumza kwa uchache kwa niaba ya taasisi “Kwanza kabisa nipe kuwashukuru uongozi wa Zahanati hii kwa kutupokea kwa ukaribu kabisa, Lakini pia kama Meridianbet tunayo furaha kufika hapa na kutoa vifaa hivi ambavyo tunaamini vitaimarisha usafi hapa lakini vitawasaidia Mama wajawzito watakaofika hapa”.

NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

Mbali na Muwakilishi wa Meridianbet kuzungumza lakini pia muwakilishi wa Zahanati hiyo anayefahamika kwa jina la Beatrice Sangiwa ameishukuru sana Meridianbet na kuwataka makampuni mengine kuiga mfano kwa kampuni hiyo “Naishukuru sana Meridianbet kwa msaada huu kwani utaenda kumsaidia mama mjamzito wakati wa kujifungua na baada ya kujifungua, huu ni mfano wa kuigwa kwa makampuni mengine”

Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maana kaulimbiu yao inasema kuwa, “Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha”. Kama bado hujajisajili na Meridianbet muda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kucheza michezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.

SOMA NA HII  KANOUTE HALIMBAYA, APUMZISHWE