Home Habari za michezo USIKU WA ULAYA HUU HAPA NA MAKOTO YAKE ….ZINGATIA ODDS HIZI KWA...

USIKU WA ULAYA HUU HAPA NA MAKOTO YAKE ….ZINGATIA ODDS HIZI KWA USHINDI WA KIBABE..

Meridianbet

Wazungu hutumia msemo wa β€œThe Wait is Over” wakimaanisha kuwa hatimaye liliokuwa likisubiriwa limewadia, na sisi kama uwanja wa michezo tunaelewa kuwa ukisikia msemo huo kwenye siku hizi mbili ujue ni ile UEFA yani michuano mikubwa ya Ulaya imefika.

Mechi nyingine ya kusisimua na ya kukata na shoka ni hii hapa ambayo inakutanisha timu mbili kutoka mataifa mbalimbali yani nazungumzia kule Ufaransa na kule Ujerumani.

Miamba wa LIGUE 1 PSG ya Luis Enrique watakuwa kibaruani kuanza safari yao ya kusaka Ubingwa wa UCL dhidi ya vijana wa Terzic yani Borussia Dortmund katika dimba la Parc des Princes majira ya saa 4:00 usiku.

PSG haijawahi kuchukua kombe hili na imekuwa ikileta makocha kibao sana na kufukuza makocha hao kutokana na kushindwa kupata taji hilo kubwa barani Ulaya.

Dortmund msimu uliopita kwenye Ligi ya mabingwa ameishia hatua ya 16 bora ambayo alitolewa kwa aggregate ya mabao 4-2 dhidi ya Chelsea. Kubashiri na mabingwa meridianbet mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000.

Ndugu mteja jisajisajili na Meridianbet, muda ndio huu sasa wa kuingia www.meridianbet.co.tz na uweze kupiga maokoto ya kutosha na mechi hizi za Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Β Vijana wa Stephano Pioli AC Milan watakuwa San Siro kucheza dhidi ya Newcastle United ya Eddie Howe ambao hawajashiriki michuano hii takribani miaka 20 sasa. Milan inashikilia nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi na mechi ya mwisho amepoteza kwa mabao 5-1 dhidi ya Inter ambayo ilikuwa ni Milan Derby.

Msimu uliopita Milan ameishia hatua ya Nusu fainali baada ya kufungwa na Inter nje ndani.

Leo hii yuko nyumbani kusaka pointi 3 za kwanza na timu kutoka Uingereza Newacastle united. Nafasi kubwa ya kushinda mechi hii pale Meridianbet amepewa Pioli na vijana awake wakiwa na ODDS ya 2.60 kwa 2.74 huku sare ikipewa 3.33. Wewe beti yako unamkabidhi nani akupatie pesa?.

Ndugu mteja kama bado hujajisajili na Meridianbet, muda ndio huu sasa wa kuingia www.meridianbet.co.tz na uweze kupiga maokoto ya kutosha na mechi hizi za Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Wakati huo huo mabingwa watetezi wa SERIE A, Napoli watakuwa ugenini dhidi ya Braga kutoka Ureno huku nafasi y kuondoka na ubabe ndani ya Meridianbet amepewa Naples akiwa na ODDS ya 1.81 kwa 4.01. Ikumbukwe kuwa timu hii msimu uliopita ilitabiriwa kama timu mojawapo ya kuondoka na kombe hilo lakini aliishia robo fainali akiwa chini ya kocha mkuu Spalletti ambaye sasa hayupo.

Je Osimhen na Kvaratskhelia wataibeba mabegani Napoli msimu huu baada ya msimu uliopita kuangukia pua? Beti mechi hii sasa pale Meridianbet.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. Meridianbet.co.tz.

Nao vijana wa Mikel Arteta Arsenal, baada ya muda mrefu kutoshiriki maashindano haya ya Ulaya msimu huu wameingia huku mechi ya kwanza watawakaribisha PSV kutoka Uholanzi. Nini hatma ya The Gunners kwenye michuano hii? Watafika wapi?. Mechi hii ina machjaguo zaidi ya 1000 kule Meridianbet.

Mara ya mwisho timu hizi mbili zilikutana kwenye Ligi ya Europa na Arsenal alipoteza mchezo huo. Je atalipiza kisasi hapo kesho?

NB: Huku ukiwa unendelea kubashiri mechi zako za ligi ya mabingwa kumbuka kuwa, bado Jakpoti inaendelea ndani ya Meridianbet ambapo kwa dau la shilingi 1000/= unaweza kubashiri mechi zako 13 na ukajipigia mkwanja wa shilingi 85,000,000. Ingia Meridianbet na ucheze sasa.

Meridianbet wanavyokuambia kuwa Msimu mpya mzigo wa kutosha wanamaanisha kuwa pesa yoyote utakayoihitaji utapata, huku timu ya Pep Guardiola ikizidi kuwafurahisha wale wanaoiamini kwa kuibetia na leo hii,

Manchester City VS Crvena Zvezda Belgarade

Mabingwa watetezi wa kombe hili Manchester City ambao wana kombe 1 pekee atakuwa pale Etihad kucheza dhidi ya Crvena Zvezda Belgarade ya Serbia.

Mechi hii inaonekana iko upande mmoja sana kutokana na kiwango kikubwa ambacho City anacho mpaka sasa kwenye ligi akiwa hajapoteza mechi yoyote pale EPL, huku Belgarade akipoteza mechi zake 2.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Lazio VS Atletico Madrid

Mechi nyingine ya kukata na shoka itakuwa pale Stadio Olimpico, Rome ambapo Lazio atakuwa mwenyeji wa Atletico Madrid yani hapa zinakutana timu mbili tofauti Italia na Hispania ndani ya UCL.

Β Timu hizi mbili kwenye mikutano yao mitatau ya mwisho Atletico amekuwa mbabe sana akishinda michezo yote mitatu huku Lazio akiambulia patupu.

2.55 hiyo ndio ODDS ya kuondoka na ushindi ugenini wakati mwenyeji kuondoka na pointi tatu ana ODDS ya 2.79. Suka jamvi sasa.

SOMA NA HII  KOCHA MAMELODI AMCHANA MAYELE KISA VISA