Habari za Simba leo
Habari za michezo

JE SIMBA WATAENDELEZA UBABE LEO!?

Staff Desk October 5, 2023 2:07 pm

Wekundu wa msimbazi Simba SC, leo Oktoba 5, 2023 waashuka dimbani kukabilaiana na Tanzania Prisons ambapo swali la msingi ni; wataendeleza ubabe wa unbeaten ya 27?

Simba mpaka sasa, wanazo unbeaten 26 za Ligi Kuu ya NBC kutokea mwishoni mwa msimu uliopita ambapo kocha wao Roberto Oliviera ‘Robertinho’ ameendelea kushikilia bomba na kutopoteza mchezo hadi msimu wa 2023-24 ulipoanza.

Endapo ataibuka na ushindi hii leo, atakwea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu kwani atakuwa na alama 12, nyuma yake atakuwa ni Azam FC mwenye alama 10 huku Yanga akiwa na alama tisa.

BAADA YA KUPIGA MPIRA PAPATUPAPATU SIMBA WAOMBA UTULIVU SASA INONGA ‘KUIBUKIA’ AL AHALY….ISHU NZIMA IMEKAA HIVI….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply