Home Habari za michezo YANGA WALAMBA SHAVU KUTOKA SHIRIKA LA BIMA LA NIC

YANGA WALAMBA SHAVU KUTOKA SHIRIKA LA BIMA LA NIC

Mabingwa watetezi wa Ligi kuu Kandanda Tanzania Bara klabu ya Yanga imeingia mkataba na shirikia la bima la NIC na sehemu ya makubaliano ya mkataba huo NIC itaanza kutoa zawadi kwa mchezaji wa Yanga ambaye amefanya vizuri kila mwezi.(POTM)

SOMA NA HII  ROBERTINHO AIMALIZA YANGA KABLA YA KUINGIA DIMBANI, LEO NDIO KAZI IPO HIVI